March 07, 2022

UWEPO WA ZIWANYASA LUDEWA NI FAHARI YETU WATANZANIA



























Uwepo wa Ziwanyasa Wilaya ya Ludewa unapelekea kuifanya Wilaya ya Ludewa kuwa na Kivutio kikubwa cha Utalii wa ndani ya Halmashuri yetu ya Wilaya ya Ludewa.


Licha Ziwa hilo kuwa kivutio kikubwa hapa nchini Tanzani bali Ukanda wa Ziwanysa Ludewa kuna vivutio vingi vinavyo patikana ndani ya ziwa hilo na moja utalii ndani ziwanyasya ni Samaka wa mapambo,mawe yaaina yake,kichanga na milima mizuri iliyo jipanga kwa muonekano mzuri uwapo ziwani.


Kwa nafasi hii ya kipekee napenda kukuarika kuja kujionea mwenye uzuri ulio tukuka hapa ziwanyasa.

No comments:

Post a Comment

FURSA ZA KILIMO CHA KAHAWA LUDEWA

Wakati ukijiuliza wapi zinapatika fursa za kilimo hapa nchini Tanzania leo nakunong'oneza kwa ukaribu kuwa Halmashari ya Wilaya ya Ludew...