Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa
POLIO nchini Malawi, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
ya Ludewa itaanza zoezi la kampeni ya utoaji wa chanjo ya matone ya kuzuia
ugonjwa wa kupooza kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano (5).
March 22, 2022
TAARIFA KWA UUMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FURSA ZA KILIMO CHA KAHAWA LUDEWA
Wakati ukijiuliza wapi zinapatika fursa za kilimo hapa nchini Tanzania leo nakunong'oneza kwa ukaribu kuwa Halmashari ya Wilaya ya Ludew...
-
Mwenge wa Uhuru unaashiria nuru na mwanga.Uliwashwa kwa mara ya nchini Tanzania juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mwaka 1961. Mwenge wa ...
-
Ninapo zungumzia Fursa za Uwekezaji ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ninamaanisha zipo fursa nyingi kama ifuatavyo:- Tuko na Fursa z...
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ludewa Ndg.Sunday Deogratius akiwakilishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Gilbert Ngailo amekabidhi...
No comments:
Post a Comment